Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama pamoja na mgeni wake Rais wa
Misri Abdel Fattah Al Sisi wakati wa nyimbo za mataifa mawili zikipigwa katika
uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere(JNIA). Rais huyo wa Misri
ameondoka mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili hapa nchini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza mgeni wake Rais wa Misri Abdel Fattah Al
Sisi wakati akielekea kupanda ndege mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku
mbili hapa nchini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza mgeni wake Rais wa Misri Abdel Fattah Al
Sisi wakati akielekea kupanda ndege mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku
mbili hapa nchini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Misri Abdel Fattah Al
Sisi mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili nchini.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akicheza nyimbo za
kikundi cha matarumbeta kilichokuwa kikitumbuiza katika uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere mara baada ya kumsindikiza mgeni wake Rais wa Misri
Abdel Fattah Al Sisi ambaye ameondoka mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku
mbili nchini.

0 Comments