KAMADA wa Polisi Mkoa wa Kusini Pemba Sheikhan
Mohamed Sheikhan, akiwaonyesha waandishi wa habari hawapo pichani, mbinu mpya
zinazotumiwa na wasafirishaji wa madawa ya kulevya, kutoka Unguja na kuingia
Pemba kwa kupekiwa ndani ya DVD,jeshi hilo limekamata kete 969 zikiwa
zimehifadhiwa humo.(PICHA NA ABDI
SULEIMAN, PEMBA)
BENKI YA NMB YATOA SH BILIONI 12.4 KWA WAFANYABIASHARA 6,011.
-
Jumla ya Sh12.4 bilioni zimeshatolewa na Benki ya NMB kwa zaidi ya
wafanyabiashara 6,011 ambapo wanufaika wamepewa Elimu ya fedha na uongozi.
Takwimu hizo ...
3 minutes ago

0 Comments