Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud akiwa na Viongozi Jukwaa kuu akipokea maandamano ya Timu shiriki za Michuano ya Mkombozi PBZ Cup, kulia Mkurugenzi Mtendaji wa PBZ Juma Ameir Hafidh na kushoto Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo, Omar Hassan King wakipokea maandamano hayo ya Timu shiriki. 
NYUMBU NA MSEMO WA 'TAHADHARI NA ADUI KIUMBE'
-
Msanii kutoka Zanzibar Bi Fatma Issa aliimba tahadhari na adui kiumbe,
daima asikusibu na Mungu akuepushie.
Nyumbu wakiwa wanazaliwa katika eneo la Ndutu...
2 minutes ago
0 Comments