6/recent/ticker-posts

Mdau Muganyizi Bisheko Aukimbia Ukapera Achukua Jiko.

Mkuu wa Masoko wa Bank of Africa - Tanzania Bw. Muganyizi Bisheko akiwa na furaha baada ya kufunga ndoa takatifu na Bi. Brenda Ngowo ambae ni mfanyakazi wa CRDB Bank. Ndoa hiyo ilifungwa mnamo wa tarehe 04/11/2017 katika Kanisa la Bungo KKKT, Morogoro.

Post a Comment

0 Comments