Wajumbe wa Kamati ya Mawasiliani na Ardhi ya Baraza la Wawakilisi waqkiwasili kisiwani Pemba kwa Meli ya Mv Mapinduzi II wakiwa katika picha ya pamoja na Nahodha wa Meli hiyo baada ya kuwasili katika Badari ya Mkoani Pemba kuaza ziara yao ya kikazi.
KAMPENI YA "SOMA NA MKARAFUU" YATOA FURSA YA KUJITEGEMEA KIUCHUMI MOROGORO
-
NA FARIDA MANGUBE, MOROGORO
Kampeni ya "Soma na Mkarafuu," inayotekelezwa na Serikali ya Mkoa wa
Morogoro, inatoa fursa mpya ya kiuchumi kwa wanafunzi ...
51 minutes ago

0 Comments