WANANCHI wa kisiwa cha
Kokota wilaya ya Wete, wakiwa katika foleni kuteka maji ya mvua ambayo
yamehifadhiwa katika hodhi maalumu, kwa ajili ya matumizi yao, ambapo suala la
maji ya bomba kuwa ni ndoto kupata.(PICHA
NA SAIDI ABRAHMANI, PEMBA).
TANZANIA YATUMIA MICHUANO YA AFCON 2025 KUUZA MAZAO YA UTALII
-
Na mwandishi wetu, Morocco
NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamad Hassan Chande (Mb), amesema
Tanzania inatumia fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (...
11 hours ago


0 Comments