Beki wa Timu ya JKU akiokoa mpira huku mshambuliaji wa Timu ya Miembeni City akijiandaa kuchukua mpira huo wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Amaan. Timu ya JKU imeshinda mchezo huo kwa bao.1 - 0.
Tanzania yaondolewa orodha ya nchi hatarishi kifedha
-
📍 BoT yaagizwa kudhibiti mikopo ya kausha damu
Na MASHAKA MHANDO, Tanga
TANZANIA imepata mafanikio makubwa kimataifa baada ya Umoja wa Ulaya (EU)
kuiond...
5 minutes ago
0 Comments