Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)) Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana baada ya kukutana na kufanya mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 27, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)) Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana baada ya mazungumzo yao yaliofanyika leo Ikulu jijini Dar es salaam.(Picha na Ikulu )
Wadau Waungana Kuboresha Elimu ya Mtoto wa Kike
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
TAASISI ya HakiElimu Tanzania inaendelea na juhudi mahsusi za kushirikisha
wadau wa elimu nchini ili kuboresha mazingira ya...
22 minutes ago


0 Comments