MDHAMINI wa Shirika la Magazeti ya Serikali Zanzibarleo Ofisi ya Pemba,Ndg. Bakari Mussa Juma, akizungumza na Watendaji Wakuu wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) Ujumbe huo ukiongozwa na Katibu Mtendaji wa MCT Kajubi Mukajanga wakimsikiliza Afisa hiyo akitowa maelezo wakati walipotembelea Afisi za Gazeti hilo la Zanzibar Leo kisiwani Pemba wakati wa ziara yao.
KIKUNDI CHA AMANI NCHINI WAFANYA MKUTANO MAALUMU ULIOLENGA KUHAMASISHA
UZALENDO NA KUELEZEA MAFANIKIO YA SERIKALI
-
Na Oscar Assenga,Tanga
KIKUNDI cha Amani nchini kimefanya mkutano maalumu leo katika Jiji la Tanga
uliolenga kuhamasisha uzalendo, kuelezea mafanikio ya...
11 minutes ago
0 Comments