Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo akizungumza na Makampuni ya Watembeza Watalii Zanzibar ZATO, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Wizara hiyo kikwajuni wakati wa kujitambulisha kwao.
TAIFA STARS YAFUZU HATUA YA MTOANO AFCON
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
Timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars imefanikiwa kufuzu hatua ya mtoano
ya michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) kw...
0 Comments