Wafanyakazi wa Baraza la Manispa Zanzibar wakiwa katika zoezi la kuondoa Kontena la Taka lililojaa katika eneo la maisara na kuweka jengini ili kuwe mazingira mazuri ya eneo hilo. Kama lilivykutwa na Mpiga picha wetu akiwa katika mizungumko ya mitaani Unguja.
Meya Kigamboni awafariji wagonjwa agawa zawadi
-
Na MWANDISHI WETU
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni ambaye ni Diwani wa
Kata ya Kibada Mhe. 𝗔𝗺𝗶𝗻𝗶 𝗠𝘇𝘂𝗿𝗶 𝗦𝗮𝗺𝗯𝗼, amefanya ...
51 minutes ago


0 Comments