Muonekano wa maeneo ya Mitaa ya Mchangani Unguja ukiwa katika hali ya harakati za hapa na pale kwa Wananchi wakiwa katika shughuli zao za Biashara na Wananchi kujipatia mahitaji yao ya vifaa mbalimbali katika maduka hayo maarufu kwa uuzaji wa nguo za aina mbalimbali Visiwani Zanzibar.
KAPINGA: TATHMINI ZA MARA KWA MARA NI MSINGI WA UFANISI WA KAZI.
-
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga (Mb), amesisitiza
umuhimu wa kufanya tathmini za mara kwa mara katika taasisi za zilizochini
ya Wizara y...
7 minutes ago
0 Comments