Maandhari ya Daraja la Juu katika Barabara ya Tazara kama linavyoonekana picha likiendelea na ujenzi wake huo linalojengwa na Serikali ya Muungano wa Tanzania katika eneo hilo la Tazara jijini Dar es Salaam likiwa katika hatua za mwisho za ujenzi wake.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
JAS yafanya kikao cha kufunga Mwaka 2025
-
Na Mwandishi Wetu Morogoro 27 Disemba, 2025.
Jumuiya ya Wanafunzi ya Jiba Active Students (JAS) imefanya kikao maalum
cha kufunga shughuli za Mwaka 2025...
2 hours ago
0 Comments