Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja katika Kijiji cha Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja wakisherehekea Sikukuu ya Maadhimisho ya Mwaka wa Kimila Mwaka Kogwa wakikizunguka kibanda huku wakiimba baada ya kuchomwa moto kuashiria kuadhimisha mila na utamaduni wao. Utamaduni wa Mwaka Kogwa umeaza tangu mwaka 875 Karne ya 8.Wakiwa katika uwanja maalum kwa ajili ya sherehe hizo.
TAHA Kuandaa Maonesho ya Kimataifa ya Hortilogistica Africa 2026 jijini
Arusha
-
Na Mwandishi Wetu, Dodoma.
TAASISI kilele ya sekta binafsi inayoshughulika na tasnia ya horticulture
nchini TAHA, imewasilisha rasmi mpango wa kuandaa mao...
2 hours ago
0 Comments