Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishirikiana na Madaktari wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Wafanyakazi wa Kiwanja cha Ndege cha Mwalimu Julius Nyerere kumshusha kutoka kwenye ndege Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla ambaye alijeruhiwa katika ajali ya gari mkoani Manyara. Ndege hiyo iliwasili majira ya jioni katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mheshimiwa Abdullah Akutana na Balozi wa Urusi
-
Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali Mapinduzi Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman
Abdullah amekutana na kuzungumza na Balozi wa Urusi nchini Mhe. Andrey
Avetisyan ...
2 hours ago




0 Comments