WATOTO wakiwa na Wazazi wao katika viwanja vya
Sikukuu vya Mnazi Mmoja wakisherehekea kama walivyokutwa na mpiga picha wetu
wakiwa katika viwanja hivyo
STAMICO YAGUSA MIOYO YA WATOTO YATIMA, YATOA MSAADA KUELEKEA SIKUKUU YA IDD
-
Katika kuendeleza dhamira ya uwajibikaji kwa jamii, Shirika la Madini la
Taifa (STAMICO) limetembelea Kituo cha Watoto Yatima cha Umra Orphanage
jijini Dar...
3 hours ago
0 Comments