Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said
akisisitiza jambo wakati akitowa nasaha zake kwa Waumini na Wanafunzi wa
Madrasa za Kanda ya Bungi wakati wa mashindano ya kusoma na kuhifadhi Quran
yaliofanyika katika viwanja vya Msikiti wa Kibele Wilata ya Kati Unguja Mkoa wa
Kusini.
MWENEZI PWANI : HOTUBA YA RAIS DKT. SAMIA IMETOA DIRA YA MATUMAINI KWA
TAIFA LETU
-
Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo CCM Mkoa wa Pwani Dkt. David Mramba.
Na Khadija Kalili, Kibaha
KATIBU Katibu wa Siasa ,Uenezi na Mafunzo Chama Cha Ma...
3 hours ago
0 Comments