UZINDUZI WA TAMASHA LA 54 MASHINDANO YA ELIMU BILA MALIPO, UWANJA WA AMANI ZANZIBAR, MGENI RASMI BALOZI ALI KARUME AKIWA SAMBAMBA NA WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI MH RIZIKI PEMBE JUMA. KILELE CHA MASHINDANO HAYO NI JUMAPILI TARH 23/9/2018 MGENI RASMI KATIKA SHEREHE HIZO ANATARAJIWA KUWA RAISI WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DR ALI MOHAMED SHEIN.
NAIBU WAZIRI WANU AAGIZA CHUO MZENGA KUTOA MAFUNZO YANAYOENDANA NA UCHUMI
WA ENEO
-
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Wanu Hafidh Ameir,
ameutaka uongozi wa Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Mzenga, kilichopo Kata
ya Mzenga, ...
46 minutes ago



0 Comments