6/recent/ticker-posts

Wanafunzi wa Madrasa ya Fatma bit Rassul wapewa zawadi




Ofisa Mdhamini wizara ya Vijana , Utamaduni , Sanaa na Michezo Pemba, Fatma Hamad Rajab, akiwakabidhi zawadi Wanafunzi wa Madrasa ya Fatma bit Rassul , ilioko Kengeja Pemba, ambao wamefanya vyema katika mitihani yao.

PICHA NA HABIBA ZARALI -PEMBA.

Post a Comment

0 Comments