Wananchi wakiangalia gari zilizogongana katika makutano ya barabara ya maisara na muembemadena iliohususha gari mbili ndogo zenye namba ya Usajili Z541 JC aina ya Ist iliyogonga na gari yenye namba za usajili Z 357FL aina ya Vizt, katika jali hiyo hakuna Mtu aliyejeruhiwa. Ili magari yaliogonga yamepata madhara kutoka na ajali hiyo.
Mheshimiwa Abdullah Akutana na Balozi wa Urusi
-
Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali Mapinduzi Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman
Abdullah amekutana na kuzungumza na Balozi wa Urusi nchini Mhe. Andrey
Avetisyan ...
16 minutes ago
0 Comments