Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja Watoa Mkono wa Pole kwa Uongozi wa Hoteli ya Uroa Bay, kutokana na Ajali iliotokea wiki iliopia na kufariki Wafanyakazi wa Hoteli hiyo, Ujumbe huo ukiongozwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja Ndg. Ramadhani Ali Kichupa na Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Ndg Haidar Haji Abdalla, akitowa maelezo Katibu wa CCM wa Mkoa Kusini Unguja, Ndg.Suleiman Mzee (Charas) na kuutambulisha Ujumbe huo kwa Uongozi wa Hoteli hiyo.kulia Mmiliki wa Hoteli Mr. Andrea Balladini.
TIRDO Yachangia Kukuza Ubunifu na Ujasiriamali wa Vijana nchini
-
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
NAIBU Waziri wa Viwanda na Biashara, Deniss Londo, amesema kupitia Shirika
la Utafiti na Maendeleo ya Viwanda Tanzania (...
6 hours ago

0 Comments