Kijiko cha Kampuni ya CRJE inayojenga Mitaro ya Maji katika maeneo mbalimbali ya Zanzibar.kama inavyoonekana kikiwa katika zoezi hilo mitaa ya mbweni Zanzibar kikichimba mtaro huo ukitokea katika eneo la barabara ya kiembesamaki na kupelekea maji maeneo ya pwani ya mazizini.
TANZANIA YASHIRIKI MAONESHO YA UTALII NCHINI FINLAND
-
Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi akielezea vivutio
vya utalii vya Tanzania pamoja na filamu ya Tanzania: The Royal Tour,
wakati wa M...
1 hour ago
0 Comments