Wageni wakiwa katika matembezi yao na kujipatia mahitaji wa bidhaa mbalimbali katika mitaa ya Mji Mkongwe wa Zanzibar, kama walivyokutwa na mpiga picha wetu akiwa katika mitaa ya Mji Mkongwe wa Zanzibar.
TANZANIA YASHIKA NAFASI YA NNE KWA UWEKEZAJI SEKTA YA MADINI AFRIKA
-
▪️Ni ya 4 barani Afrika, nyuma ya Botswana, Morocco na Zambia
▪️Alama ya Tanzania yapanda hadi 68.04 mwaka 2025 kutoka 62.75 (2024) na
46.38 (2023)
▪️Ta...
39 minutes ago
0 Comments