Vijana wa Kikundi cha Kidedea kutoka Kajengwa Makunduchi wakitowa burudani ya kuhamasisha Michuano ya Fainali ya Michuano ya Yamleyamle CUP ZBC Zanzibar, imeibuka mshindi wa Vikundi vya uhamasishaji katika michuano hiyo na kujinyakulia Tunzo na Fedha Taslim shilingi Laki Moja.
WAHITIMU TaSUBa WAHIMIZWA KUILINDA AMANI YA TANZANIA
-
Na MWANDISHI WETU, Bagamoyo
WAHITIMU wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa), wamehimizwa
kuilinda amani nchini.
Akizungumza katika Mahafali ya...
13 hours ago





0 Comments