Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri Mkuu wa Niger Mhe. Brigi Rafini alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Diori Hamani, Niamey Nchini Niger. Makamu wa Rais anamuwakilisha Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa 12 wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika wenye lengo la kujadili masuala mbalimbali kuhusu Eneo Huru la Biashara Afrika(African Continental Free Trade Area-AfCFTA) (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
TASAC YATAKA WANANCHI KUTUMIA VYOMBO VILIVYOIDHINISHWA KUBEBA ABIRIA
-
Na Mwandishi wetu
Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limewataarifu wananchi
wanaotumia usafiri kwa njia ya maji kutumia vyombo vya usafiri majini ...
18 minutes ago
0 Comments