Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Tanzania Darasa akitowa burudani wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Ofa ya Zantel katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Zanzibar, ya Msako Time kujipatia Ofa ya Internet kwa kujiunga kwa shilingi 500/= na zaidi kupata ofa hiyo kuazia saa tisa mchana hadi saa kumi na moja jioni.
HALMASHAURI KUU YA CCM MBEYA YAMPATIA TUZO YA HESHIMA DC ITUNDA
-
📍Yataja utendaji wake kama kiungo muhimu kwenye chama na serikali
*NA MWANDISHI WETU, MBEYA
Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mbeya...
42 minutes ago
0 Comments