Ndege maalum ya Jeshi la Kenya iliyobeba Dhahabu ya Tanzania iliyokamatwa Kenya ikiwasili katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam kabla ya kukabidhiwa kwa Serikali ya Tanzania ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli atashuhudia makabidhiano hayo Ikulu Dsm kutoka kwa Mjumbe Malalum wa Rais Wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyata. PICHA NA IKULU
VITONGOJI VYOTE MKOA WA KILIMANJARO SASA KUWA NA UMEME
-
📌 Wananchi wahamasishwa kuanza kufanya wiring kupokea mradi wa vitongojini
📌 Wananchi watakiwa kulinda miundombinu ya umeme
📌 Bilioni 33.5 kupeleka um...
8 minutes ago


0 Comments