Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar kuhudhuria Maadhimishi ya Siku ya Utumishi wa Umma, kulia Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman na kushoto Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud. wakielekea katika ukumbi wa mkutano.
OSHA INA NAFASI MUHIMU YA KUWEZESHA SHUGHULI CHA UZALISHAJI-KATIBU MKUU KAZI
-
Wajumbe wa Baraza la OSHA wakifuatilia majadiliano mbalimbali
yaliowasilishwa katika kikaocha Tano cha Baraza la Tano la wafanyakazi wa
OSHA kilichofanyik...
4 hours ago
0 Comments