Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. Akabidhiwa Simu ya TTCL na Mkurugenzi Mkuu wa Shrika la Simu Tanzania (TTCL), Bwana Waziri Kindamba.leo Julai /1/2019 Jijini Dar es salaam ,wanao shuhudia kushoto kwa Waziri Mkuu. ni Meneja wa TTCL Mkoa wa Kinondoni Bibi Janeth Maeda. na kulia mwisho ni Meneja Huduma wa TTCL Kinondoni Bwana Salim Msalilwa.
TFS YATOA MSAADA WA MBAO NA MAGOGO YA SH MILIONI 45 KWA MANISPAA YA TABORA
-
-Lengo ni kupunguza uhaba wa madawati mashuleni*
Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kupitia Ofisi yake ya Wilaya ya
Tabora, leo imekabidhi msaada...
1 hour ago
0 Comments