Beki wa Timu ya KMKM Khafidh Mohammed akijaribu kumzuiya mshambuliaji wa Timu ya D'Agosto ya Angola Jose Macsir Ganga wakati wa mchezo wa Awali wa Michuano ya Mabingwa Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar. Timu ya D'Agosto imeshinda kwa bao 2-0.Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar leo jioni 10-8-2019.
Bilionea David Mulokozi Afanyiwa Birthday ya Kifalme, Banana Zoro Aitikisa
Babati
-
Na Mwandishi Wetu.
Babati, Manyara: Sherehe ya kumbukizi ya kuzaliwa ya Mkurugenzi wa Mati
Super Brands Ltd, Bilionea David Mulokozi, imegeuka kuwa somo ...
1 hour ago
0 Comments