6/recent/ticker-posts

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein Akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar.

 
Watendaji wa Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar wakifuatilia mkutano wa Wizara yao wakati wa kuwasilishwa Ripoti ya Utekelezaji wa Bajeti na Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai 2018 hadi Juni 2019, uliofanyika Ikulu Zanzibar.









Post a Comment

0 Comments