Uwanja wa Mao Zedong Zanzibar umekuwa mkombozi wa Michuano mbalimbali ya mchezo wa mpira katika visiwa vya Zanzibar, kupunguza uhaba wa viwanja na kuweza kufanyika michezo miwili katika viwanja hivyo, kama inavyoonekana pichani michezo hiyo ikiendelea kwa mechi mbalimbali za Ligi za Daraja la Kwanza na ligi kuu ya Zanzibar.
JAS yafanya kikao cha kufunga Mwaka 2025
-
Na Mwandishi Wetu Morogoro 27 Disemba, 2025.
Jumuiya ya Wanafunzi ya Jiba Active Students (JAS) imefanya kikao maalum
cha kufunga shughuli za Mwaka 2025...
2 hours ago
0 Comments