6/recent/ticker-posts

Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Kati ya Mlandege na Malindi Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu Hizo Zimetoka Sare .

Wapenzi wa mchezo wa mpira Visiwani Zanzibar wakifuatili mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Kati ya Malindi na Mlandege mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan.Timu hizo zimetoka sare ya bila kufungana.











Post a Comment

0 Comments