Mshambuliaji wa Timu ya Polisi akijaribu kumpita beki wa Timu ya KMKM wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Mao Zedong Timu ya KMKM imeshinda mchezo huo kwa bao 2-0.
TANZANIA YATUMIA MICHUANO YA AFCON 2025 KUUZA MAZAO YA UTALII
-
Na mwandishi wetu, Morocco
NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamad Hassan Chande (Mb), amesema
Tanzania inatumia fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (...
14 hours ago
0 Comments