Mchezaji wa Timu ya Tamisemi akijiandaa kufunga wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Muungano uliofanyika kati Uwanja wa Gymkhana dhidi ya Timu ya Mafunzo.Timu ya Tamisemi imeshinda mchezo huo kwa bao.49-45.
Teknolojia : Serikali Yaombwa Kutazama Upya Ghrama za Usajili na Kodi kwa
Vyombo vya Habari vya Mtandaoni
-
Serikali imeombwa kupunguza gharama za usajili wa vyombo vya habari
mtandaoni (Online Media) ili kutoa fursa kwa vijana wengi zaidi kujiajiri.
Ombi hil...
3 hours ago
0 Comments