TUMEKUWA tukishudia kwa muda mrefu mchezo wa bao ukichezwa sana na wanaume, lakini katika miaka ya hivi karibuni mambo yamebadilika mchezo huo hata wanawake wanacheza, kama walivyokutwa na mpiga picha wetu.(PICHA NA ABDI SUELIMAN, PEMBA)
Pwani Yaendelea Kuzalisha Ajira Kumuunga Mkono Mhe. Rais
-
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Abubakar Kunenge, amesema Mkoa wa Pwani
unaendelea kutekeleza vipaumbele vya Serikali kwa vitendo, hususan katika
eneo la uza...
4 hours ago

0 Comments