Mshambuliaji wa Timu ya Kikwajuni akiwa na mpira akijaribu kumpita beki wa Timu ya Miembeni wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu Daraja la Kwanza Kanda uliofanyika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar. Timu hizo zimetoka sare ya bao 2-2.
Arusha Yageuza Bodaboda Kuwa Fursa Mpya
-
Na Pamela Mollel,Arusha.
Jiji la Arusha limeanza ukurasa mpya katika sekta ya bodaboda baada ya Mkuu
wa Wilaya ya Arusha, Joseph Modest Mkude, kuzindua m...
1 hour ago
0 Comments