Beki wa Timu ya Zimamoto akijiandaa kumuliki mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar .Timu hizo zimetoka sare ya Bila kufungano 0-0.
MNZAVA AWASIHI MADIWANI NA WENYEVITI WA VIJIJI KUSHIRIKIANA KUTATUA
MIGOGORO YA ARDHI
-
*Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini, Mhe. Timontheo Mnzava, amewataka
madiwani na wenyeviti wa vijiji kushirikiana kwa karibu katika kutatua
migogoro...
5 hours ago
0 Comments