Washiriki wa Maandamano ya Uzinduzi wa Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar wakipita katika Mitaa ya Mji Mkongwe Jijini Zanzibar wakielekea katika viwanja vya Forodhani kumalizia maandamano hayo katika viwanja hivyo. Uzinduzi huo umefanyika jana 13-2-2020.Maandamano hayo yameazia katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Kisonge.
Meya Ahimiza Usafi Jijini Arusha
-
Na Pamela Mollel,Arusha
Meya wa Jiji la Arusha, Maximilian Iranghe, ametoa wito wa kuimarisha
ushirikiano kati ya Halmashauri na mawakala wa ukusanyaji wa ...
9 hours ago
0 Comments