Wasanii wa Kikundi cha Mehdi Qamoum kutoka Nchini Morocco wakitowa burudani katika viwanja vya Bustani ya Forodhani Jijini Zanzibar wakati wa Onesho la Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar, lililofanyika Zanzibar kuazia 13 Feb hadi 16 , 2020. na kushirikisha Vikundi mbalimbali vya Wasanii kutoka Zanzibar na nje ya Zanzibar.
0 Comments