OFISA Uhusiano Baraza la Vijana Shehiya ya Kianga (BAVIKI), Ahmed Said Mohamed, wa tatu (kulia) akiongoza zoezi la kufanya usafi hospitali ya Kianga, ikiwa ni kuunga mkono juhudi za Serikali katika mapambano dhidi ya maradhi mbalimbali ikiwemo maambukizi ya virusi vya Corona (PICHA NA ABDALLA OMAR).
RC SENDIGA APINGA TAKWIMU ZA DAWA MANYARA
-
Na Mwandishi Wetu, Manyara.
MKUU wa Mkoa wa Manyara, Mhe. Queen Sendiga, amepinga takwimu zinazoonesha
kuwa upatikanaji wa huduma za dawa mkoani humo ume...
1 hour ago
0 Comments