Mshambuliaji wa Mbeya City, Alibasilim Chidiebele akipiga shuti huku akizongwa na beki wa Namungo FC, Hamis Mgunya katika Mechi ya Ligi Kuu ya VODACOM Tanzania Bara iliyochezwa kwanye Uwanja wa Kassim Majaliwa, Ruangwa, Julai 15, 2020. Namungo FC ilishinda 1- 0. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Meya Kigamboni awafariji wagonjwa agawa zawadi
-
Na MWANDISHI WETU
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni ambaye ni Diwani wa
Kata ya Kibada Mhe. 𝗔𝗺𝗶𝗻𝗶 𝗠𝘇𝘂𝗿𝗶 𝗦𝗮𝗺𝗯𝗼, amefanya ...
6 hours ago
0 Comments