Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya
Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Abdul- Razaq Badru (katikati) akiwa katika mkutano
wa pamoja baina yake na Mkurugenzi wa Muungano kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais (OMR)
Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (kushoto) aliyefika katika Ofisi za HESLB Jijini
Dar es Salaam jana (Agosti 20, 2020) akiwa katika ziara ya kikazi katika
taasisi zinazohudumia pande mbili za Muungano, Tanzania Bara na Zanzibar. Kulia
(koti jeupe) ni Mkuu wa Mawasiliano HESLB, Omega Ngole.
RC MARA ATEMBELEA UJENZI WA MAKAZI MAPYA YA WANANCHI WANAOPISHA UPANUZI WA
MGODI WA BARRICK NORTH MARA
-
Mkuu wa Mkoa wa Mara,Kanali Evans Mtambi akitembelea moja ya sehemu
inapojengwa nyumba ya mwananchi ambaye amepatiwa fidia kupisha upanuzi wa
mgodi wa Bar...
42 minutes ago
0 Comments