Mafundi wa Kampuni inayojenga barabara ya kiwango cha lami kutoka Kwa nyanya hadi Bububu Polisi wakimalizia ujenzi huo kwa kuweka mzunguko katika makutano ya barabara ya mbuzi na ya kwanyanya kwenda Mjini na Mkoa wa Kaskazini Unguja, kama wanavyoonekana pichani wakiwa katika harakati za ujenzi huo.
TANZANIA NA ALGERIA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA OLIMPIKI
-
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Iman
Njalikai, alikutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Chama cha Kamati za
Kitaifa za Oli...
4 hours ago



0 Comments