Maji ni muhimu kwa kila kitu kwa matumizi yake Binadamu, Mimea na Wanyama wanahitaji maji .Kama anavyoonekana pichani Kuku huyu akijipatia maji kupitia katika bomba la kutolea maji nje katika moja ya nyumba eneo la tunguu Zanzibar Mkoa wa Kusini Unguja.
WAFUGAJI WATII AGIZO LA DC KASILDA WAANZA KUONDOA MIFUGO.
-
SAME.
WAFUGAJI wanaoishi nje ya wilaya ya Same ambao walikuwa wameingiza mifugo
yao ndani ya wilaya hiyo katika vijiji vilivyopo kata ya Vumari bila kuw...
6 minutes ago
0 Comments