Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi
CCM, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akizungumza na Wananchi wa Manyoni katika Kampeni za Urais wakati
akiwa njiani kuelekea Singida mjini leo 1 Septemba, 2020.
MWANAMKE MMOJA AFARIKI DUNIA AJALI YA ROLI MBEZI KWA MSUGULI
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
Mwanamke mmoja amefariki dunia baada ya gari aina ya roli lenye namba ya
usajili T696 CLY kuacha njia na kumgonga mwanamke ...
8 hours ago


0 Comments