Jinsi mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alivyopokelewa kwa shangwe na nderemo alipowasili mjini Bukoba Mkoa wa Kagera siku ya Jumanne Septemba 15, 2020 tayari tayari kwa mikutano yake ya kampeni mkoani humo
ASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI MBEYA KWA TUHUMA ZA UCHOCHEZI
-
JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linapenda kujulisha kuwa limemkamata na
linamshikilia Award Karonga, Mkazi wa Katumba ambaye ni Katibu wa Chama cha
Demokras...
44 minutes ago





0 Comments