Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akihutubia wakati wa hafla ya Chakula Maalum aliowaandalia Wanafunzi wa Skuli za Sekondari wa Kidatu cha Sita na cha Nne kwa kufanya vizuri Mitihani yao ya Taifa kwa mwaka 2019/2020, na kuwazawadia zawani wanafunzi hao hafla iliofanyika katika Viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
Ruby Play Yafungua Burudani ya Kasino Ndani ya Meridianbet
-
KUNA wakatia burudani hubadilika na kuwa uzoefu kamili, ndipo Ruby Play
inapokutana na Meridianbet. Ushirikiano huu mpya unaanzisha sura tofauti
kabisa ya...
1 hour ago
3 Comments
Tunaomba muzipost picha nyengine
ReplyDeleteTunaomba mutume picha zato za wanafunzi ma mh.rais
ReplyDeleteTunaomba picha zote za wanafunzi
ReplyDelete