NDEGE iliotayarishwa na Chama Cha Mapinduzi kwa ajili ya kurusha Vipeperushi vya Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Mwinyi ikitupa vipeperushi kwa Wananchi walioko katika viwanja vya Demokrasia na maeneo mengi ya Zanzibar.
Katibu Mkuu Uwekezaji afanya ziara Ofisi ya Msajili wa Hazina
-
Na Mwandishi wa OMH
Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – Uwekezaji, Dk. Fred Msemwa,
leo Machi 4, 2026, ametembelea Ofisi ya Msajili wa Hazina (...
15 minutes ago
0 Comments