Boti za Azam Marine na Zanzibar Faste Ferry wakiwa katika Safari zao za kawaida kati ya Dar es Salaam na Zanzibar zinavyooneka wakiwa katika safari hiyo wakitokea Jijini Da es Salaam wakipita katika eneo la chumbwe wakielekea katika bandari ya malindi kumalizia safari yao na abiria waliotoka nao Dar.
Airtel Yazindua Teknolojia ya Airtel VoLTE Kwa Mawasiliano ya Kisasa BILA
CHENGA
-
· Airtel yaja na Airtel VoLTE, wateja sasa kuperuzi na kuongea LIVE BILA
CHENGA
Dar es Salaam, December 17, 2025,
KAMPUNI ya Airtel Tanzania leo imezin...
6 hours ago
0 Comments